DashMi npo Ndanda hapa hivi sasa akuna jipya kuhusu malipo ya korosho ya mnada wa kwanza 2017/2018, wewe uko kijijini gani wilayani Masasi na nini kinaendelea au viongozi wanasemaje kuhusu hilo?
Wape Hai mwena day mkuu..Mi npo Ndanda hapa hivi sasa akuna jipya kuhusu malipo ya korosho ya mnada wa kwanza 2017/2018, wewe uko kijijini gani wilayani Masasi na nini kinaendelea au viongozi wanasemaje kuhusu hilo?
Hivi Petagoni ipo hapo kwa DomyWape Hai mwena day mkuu..
Hivi Petagoni ipo hapo kwa DomyWape Hai mwena day mkuu..
Mku Poleni. Wewe upo hapo MwenaMi npo Ndanda hapa hivi sasa akuna jipya kuhusu malipo ya korosho ya mnada wa kwanza 2017/2018, wewe uko kijijini gani wilayani Masasi na nini kinaendelea au viongozi wanasemaje kuhusu hilo?
Tukisema hii nchi serikali yake imeshindwa kuwajali na kuwatendea mema RAIA zake hamiamini. Tuendelee kupiga makofi na kuwasifia watawala lkn cha moto tunakionaMku Poleni. Ww upo hapo mwena