Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,414
- 39,491
Habarini Wakuu,
Tafadhali naomba mtaalamu anayejua namna ya kutengeneza chakula cha kukuza kuku haraka (Grower mash) aweze kunielekeza.
Ni vitu gani huwa vinahitajika ili kuchanganya mpaka kufikia final stage ya chakula hicho?
Natanguliza shukran.