Karibu ujipatie ofa ya Chrissmass na mwaka mpya ukichimba kisima cha maji na sisi

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
WAHI OFA YAKO KABLA HAIJAISHA

IMG_20170905_145428.jpg
Habari wana kikundi, sisi tunaitwa Tawa Water Proffesional ni wachimbaji wa visima vya maji iwe kwa ajili ya umwagiliaji mashambani au kwa matumizi ya kawaida majumbani. Tunachimba maeneo yote ya Tanzania na tunachimba kwa kutumia mashine za kuchimbia pia tunafanya Ground water survey kwa bei rahisi kabisa.

Ukichimba nasi tutakuwekea vifuatavyo bure kabisa
1) Bomba ( pvc )
2) Gravel
3) pipe
4) pampu with accesories
5) Flashing
6) Water tank
IMG_20170905_145422.jpg

Bei zetu ni : kwa wateja walioko Dar es salaa na mkoa wa pwani wote bei zetu ni elfu sitini ( Tshs 60,000/=) kwa mita moja ila kwa bei hiyo hupewi Tenki ila vitu vingine vyote unapewa na elfu sabini (Tshs 70,000/=) kwa bei hiyo unapewa hadi Tenki la maji bei hizo zote utawekewa bomba za inchi 4.5 na bei ya mwisho ni elfu themanini kwa mita moja utapewa vitu vyote pamoja na tenki la maji pia utawekewa na bomba za ukubwa wa inchi 5

Wateja walioko mikoani bei ni laki moja na ishirini kwa mita moja unapewa kila kitu pamoja na tenki na bomba za inchi 5

Mawasiliano : Watsapp 0625576082

Call/text 0715459476

Tupo Chanika Dar es salaam

Karibuni sana

Moderators tafadhari msiufute uzi wangu nawaombeni
 

okwili

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
214
225
Karibu kwa mahitaji ya filters ( air filter, fuel filter, fuel separator, lube filter, hydraulic filter) za hizo Rig zenu. Check na Fleetcare ltd 0712687590 dsm@fleetcare.co.tz
 

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,509
2,000
Maji yanaweza kupatikana umbali gan ? Nipo mkoa wa pwani.
 

kiogwe

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
3,696
2,000
Hawa watu wa maji waongo waongo sana ni matapeli flani hivi ukimuuliza kitu ntakwambia mpaka tufanye survey ambayo haipungui laki 4 yani wana hadithi nyingi an ni matapeli tu hata hawa ni madalari
 

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
Hawa watu wa maji waongo waongo sana ni matapeli flani hivi ukimuuliza kitu ntakwambia mpaka tufanye survey ambayo haipungui laki 4 yani wana hadithi nyingi an ni matapeli tu hata hawa ni madalari
Mkuu hulazimishwi kufanya survey na sisi... Unachohitajika ni kufanya survey kwa mtu yeyote unayemuamini ila kikubwa akupe report ambayo sisi tutaitumia kwa kuchimbia kisima ili chochote kitakachojiri hapo kwenye uchimbaji kama kukosa maji au na mengine yeye awe responsible

Nb: sikulazimishi kufanya survey kwangu mimi
 

Mcharo son

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
2,703
2,000
upo sehemy gani maana maji upatikanaji wake unatofautiana sehemy moja na nyingine
kwa mfano mimi nipo Kisemvule Pwani na jirani yangu kama mita 40 hivi ana kisima maji baridi hakuna chumvi),sasa hapo kuna haja ya MIMI KUFANYA SURVEY??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom