donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kwa wale wafugaji wa kuku.
Vipi nawe ulipitiwa na hiyo kumba kumba?Basi tutafuga kwa mihemko maskini kama enzi za sungura na kware
Wala mi nafuga kucha tu na nywele tehVipi nawe ulipitiwa na hiyo kumba kumba?
Hizo kucha na nywele unafuga za kazi gani wakati huwezi hata zikamua maziwa? Au nawe ukizinyoa unaziuza tutengenezee mawigi na kucha bandia?Wala mi nafuga kucha tu na nywele teh
Ndio nnachowezaHizo kucha na nywele unafuga za kazi gani wakati huwezi hata zikamua maziwa? Au nawe ukizinyoa unaziuza tutengenezee mawigi na kucha bandia?
Usifikiri huwezi kufuga mifugo, bali hujahamasishwa tu. Inabidi nikukaribishe huku kwetu uone akina mama wenzako wanavyofuga, wanakakata majani ya kulisha mifugo hadi kuwazalisha ng'ombe wanaweza.Ndio nnachoweza
Nitakuja DecemberUsifikiri huwezi kufuga mifugo, bali hujahamasishwa tu. Inabidi nikukaribishe huku kwetu uone akina mama wenzako wanavyofuga, wanakakata majani ya kulisha mifugo hadi kuwazalisha ng'ombe wanaweza.
Aaah kumbe nawe Manka, Aika! Ukija nikaribishe kula ndafu! Mi mgeni wenu!Nitakuja December
wala mi sio mankaAaah kumbe nawe Manka, Aika! Ukija nikaribishe kula ndafu! Mi mgeni wenu!
We ni yupi?wala mi sio manka
msukuma ogWe ni yupi?
Ooh, kumbe akina Sundi. Karibu mwisho wa SGR.msukuma og