Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Heloooo Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada...
0 Reactions
59 Replies
15K Views
Kama mada inavyojieleza huwa najiuliza hivi hakuna taasisi ambazo hufanya research za market za mazao yetu mana wakulima hawana information za kutosha nakumbuka zamani kahawa, pamba, mkonge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa anayehitaji mahindi anijulishe tafadhali. Nauza mahindi nina gunia za debe sita kama 15. Anayehitaji anipe bei tufanye biashara sitaki mwembwe wala ubabaishaji.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jinsi ya kufaidika na kilimo cha mpunga na jinsi ya ulimaji kwa mtaji mdogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unapoambiwa "kama ww ni mkulima wala usibugudhiwe kwa kupitisha mazao kwenye barrier za wilaya" Mkurugenzi wa makusanyo anakwambia sisi hata gunia moja ushuru tunachukua.. ukitaka usilipe uwe na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kujulishwa wanapouza mananasi na matikiti kwa bei nzuri(bei ya shambani/sokoni) kwa hapa DSM
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu anaejuwa soko la Mahindi Morogoro Naomba anijuze..nauza mahindi yangu niliyoyatunza Naona Bei hazipandi kabisa na hali ni tete
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninaomba wadau mwenye utaalamu na ujuzi juu ya elimu ya ufugaji kuku wa kisasa na kienyeji tuwasiliane ili apate kunisaidia.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima yenu wadogo kwa wakubwa. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasoma shahada ya Food science and Technology chuo kikuu cha sokoine, matarajio yangu ni kupata uzoefu wa kufanya kazi katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wenye ujuzi wa ufugaji wa samaki na ujenzi wa mabwawa ya samaki naomba tutafutate kwenye no 0738299299
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Msaada jamani miparachichi yangu inashambuliwa sana nitumie dawa gani kuitibu maana majani yana jikunja na kukakamaaaa
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajf Naomba mnisaidie yafuatayo.. 1.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya nguo spesho? Nguo hizo zinapatikana wapi kwa bei rahisi zaidi? 2.Ni mtaji kiasi gani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mbegu za binzari kilo 100, kwa yeyote mwenye kuwezesha kupatikana kwa mbegu hii naomba aniibox.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba ndugu zangu watafiti wa kilimo wanisaidie hawa wadudu nawamwagilia dawa gani maana wanatafuna huu muembe kwa kasi ya standard gauge Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Ni ukweli usiopingika wafugaji walio wengi wanagawana faida na maduka ya vyakula vya mifugo..Nataka kutoa changamoto zilizokuwa zinanikabili kwenye chakula cha mifugo yangu na...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza vitunguu kwa jumla DAR AU MORO naomba aniPM tutete jambo. thank you.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Back
Top Bottom