Nipi dawa nzuri ya kuua majani kwenye mpunga?

Antony Abel

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
264
142
Nimemwaga mpunga trh 03/01 ila majan yanaota kabla ya mpunga nahitaji kufaham dawa ya kuua majani bila ya madhara kwa mpunga.
 
Kama majani yanaota kabla ya mpunga basi angalia vizuri hilo shamba kama mpunga haujaoza.

Wenzio huwa wanafanya hivi, akimwaga mpunga anapiga dawa inaitwa rilo hii dawa huuwa mbegu za majani kwa hiyo majani huota baada ya mpunga kuota.

Kwa hali uliyonayo, tafuta dawa inaitwa 2-4 d( tunaita tufodi) unachanganya na metrine. Ukichanganya vizuri nyasi zitakufa zote na kuacha mpunga wako ukipeta.

Angalizo, hii metrine ni kali sana inahitaji mchanganyo sahihi, la sivyo utaunguza vyote.
Kama huna uhakuka na mchanganyo basi tumia tufodi peke yake itakusaidia.
 
Kwa hivo kutumia rilo nimechelewa?
 
ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom