Tende zinaharibika je zinatengenezwaje?

Tende zinaharibika je zinatengenezwaje?

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa.

Msaada Kwa mwenye ujuzi.
 
Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa.

Msaada Kwa mwenye ujuzi.
Be the first to reply,...........!!!!!!!!
Tende ni Tunda,
Sasa kutengenezwaje ki aje labda??
 
Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa.

Msaada Kwa mwenye ujuzi.
Tende ni tunda
Mtende ni mti wake
Jee hayo matunda ndio yanaharibika au mti wake?
Fafanua swali vzr mkuu
 
Back
Top Bottom