Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,097
Msaada wana JF.
Nahitaji kununua mayai yanayotumiwa kutotoresha broilers, nimejaribu kufanya internet search locally kwa hapa Tanzania sijaambulia information yoyote inayoweza nisaidia.
Kama unajua wapi yanapatikana ntashukuru sana kunipa info hizo.
Thanks in Advance.