Wakulima wa JF getting-together | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakulima wa JF getting-together

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by newmzalendo, May 7, 2010.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wale wakulima wanaotarajia kuanza kilimo its high time we get together. Malila and co. mko wapi?

  Mkutano wa Tea Party wa tarehe 5, vipi?
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wazo zuri; Malila atakuja kukujibu
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkulima Kwanza , na sio kilimo kwanza
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  alaaaaaaa
   
 5. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2010
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa sin a hakika Kama mkutano huu ulifayika au la....
  Mimi nadhani ni vema kabisa wakulima na wafugaji au wadau wa maeneo hayo humu ndani ya JF tukutane na kubadilishana mawazo. Napendekeza iwe desemba hii hapa hapa Dar. Kwa wa mkoani na nje ya nchi tutapeana taarifa. Pendekeza siku na mahali please....
   
 6. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2016
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  naomba nami mniunge huko kwenye kilimo get together jamani wadau natka nijikite kwenye kilimo pls
  no yangu ya whatsaap ni hii 0653 287784
   
 7. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2016
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  niunganisheni nami huko wadau
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jan 21, 2016
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mikituno ya ujasirimali ni ngumu sana kwa Wabongo haya mambo hayawezekani kabisa, Watanzania story nyingi sana ukija kwenye vitendo ni O last time iloorganiziwa meeting Dar amabpo tulukutana Rombe Green View Hotel kama sijakosea jina. Cha kushangaza watu wa mikoiani ndo walikuwa wengi, watu wa hapo hapo Dar walikuwa kama 6 kama sijakosea, na kabla ya hapo kila mtu alisema anafika, but siku ya mkutuna kulikwa na exchuuzin za kufa mtu kila mtu alikuwa na udhuru wake, kwa kifupi ilikuwa ni udhuru ndani ua udhuru.

  Kwa kifupi sisi maneno mengi sana na porojo kibao na tangu siku ile niliachana na haya mambo na kama ni meetingi huwa nahudhuria za Wakenya ambao wakiwa na meeting kweli watu wanafika wote na hakuna usanii.

  Sisi theory ni nyingi sana, halafu wengi wetu tunalima na kufuga theoreticaly but not practicaly so inakuwa vigumu sana.

  Hivyo haya mambo ya mikutano kwa Tanzania hayawezekani kamwe, nimeshuhudia mikutano mingi watu wana aahdi kufika mwisho wa siku watu wanao fika ni 5 na wengine wanakuwa na sababu milioni za kushindwa kufika.

  Kenya wako siriasi sana nimehudhuria mikutano yao mingi sana kama mwalikwa, wako very organized na jamaa wana tour za kufa mtu na ni very expensive tour but watu wana pay na wanaenda tour za kilimo, jamaa wananednaga hadi Israeli na South Africa kujifunza, sasa Sisi hebu organize tour hata ya hapo hapo Dar uone kama kuna mtu anafika.

  Tuko radhi weekendi tukapige vitu kuliko kwenda kujifunza.

  Hatuko siriasi na hatujawahi kuwa siriasi hata siku moja,
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Jan 21, 2016
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Haya mambo hayawezekani, bora kila mtu awe bise na mambo yake, ni usanii na kudanganyana, hapa unaweza kupata watu waliko tiyari hata 1000 ila siku yenyewe utashangaa watu wanafika 6 tu na wengine wanatoa sababu za kutisha na wako Dar. Mimi tangu tufunge safari kutoka Arusha hadi Dar na watu wa Dar hapo hapo wakaingia mitini nilinawa mikono.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Jan 21, 2016
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Hii mikutano inatakiwa watu wote wako field yaani mkutano ambao kila mtu anakuwa nan uelewa na anapractise ila kama ni mikutano mnakutana wengine ndo kwanza wana proposal wengine wana ndoto na wengine wana practise itakuwa ngumu sana. mikutano inapendeza pale watu wote wanapo zungumza rugha moja, ila mkiingia wengine wanazungumza French, wengine, kiphilipino na wengine kiswahili hamtaelewana kamwe
   
 11. Kamanda wa Kweli

  Kamanda wa Kweli JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2016
  Joined: Jul 13, 2014
  Messages: 797
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Indeed boss
   
 12. M

  Masikini mjanja Senior Member

  #12
  Nov 17, 2017
  Joined: Oct 13, 2017
  Messages: 144
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  wakati ni ukuta
   
 13. T

  Tewe JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2018
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Wandugu naomba kama kuna mtu anaifahamu posf ilishawahi kuwekwa hapa inayohushu duka la mashine mbalimbali za kilimo nahisi liko mkwajuni dar naomba aniunganishe maana niliisoma the masaa machache nikapoteza simu.

  Msaada taradhalini
   
Loading...