Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Habari! Kwa yeyote mwenye ushauri kuhusu kifaa tajwa hapo juu nakarisha,nahitaji hiko kifaa walau kile cha kuanzia mayai 300,brand ipi nzuri,automatic au manual,bei zake,za hapa bongo au nje ya nchi ni nzuri na vipi kuhusu za china na mataifa mengine na kama nitaagiza nje je kodi ipoje maana hii serikali ya viwanda sasa iko excempted kwa machine kama hizo na mengine zaidi sina uzoefu juu ya hili pia kama kuna sehemu nimekosea naruhusu pia kukosolewa.Shukrani