Habari! Kwa yeyote mwenye ushauri kuhusu kifaa tajwa hapo juu nakarisha,nahitaji hiko kifaa walau kile cha kuanzia mayai 300,brand ipi nzuri,automatic au manual,bei zake,za hapa bongo au nje ya...
Napenda kujua ni kwa nini kinyesi cha Binadamu hakitumiki kama mbolea?Maana sehemu nyingi ambazo uwa kuna mtitiriko wa kinyesi na kukawa na ulimaji Wa mboga mboga,uwa zinastawi sana.Sasa ni kwa...
Msaada wana JF.
Nahitaji kununua mayai yanayotumiwa kutotoresha broilers, nimejaribu kufanya internet search locally kwa hapa Tanzania sijaambulia information yoyote inayoweza nisaidia.
Kama...
Habari wana JF
Nahitaji partner ya kufuga nae kuku wa kisasa na kienyeji kibiashara anayepatikana mkoa wa Arusha hususani Arusha mjini....akiwa na mabanda na eneo la ufugaji itakuwa vema zaidi...
Na Dr khalfan 0752367114
Kuvimba macho huweza kusababishwa na vitu vikuu viwili
Maambukizi ya bacteria
Au upungufu wa vitamin A.kwenye chakula chako.
Utawezaje kutofautisha?????
Maambukizi ya...
Mimi ni mhitimu wa shahada ya Agronomia ( taaluma ya udongo na vipando/mimea ) kutoka chuo kikuu cha SUA mwaka 2017 kwa performance ya upper second class( Very good) .
Miongoni mwa maeneo ya...
Wanakilimo wenzangu. Nyasi zimekuwa zikinisumbua sana kwenye langu la mananasi huko Bagamoyo. Kupalilia mara kwa mara ekari zaidi ya ishirini si kitu rahisi sana ukizingatia kuwa wapaliliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.