Business Partner Arusha

Business Partner Arusha

Nakukunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
875
Reaction score
1,647
Habari wana JF

Nahitaji partner ya kufuga nae kuku wa kisasa na kienyeji kibiashara anayepatikana mkoa wa Arusha hususani Arusha mjini....akiwa na mabanda na eneo la ufugaji itakuwa vema zaidi maana sina eneo kwa sasa...kwa aliye tayari anipm tuonane kwa mazungumzo zaidi.

Ahsante!!!
 
yeye akiwa na mabanda wewe uta provide nini...
 
Tutapiga mahesabu na tutapanga mimi nitoe nini na yeye atoe nini kulingana na kiwango cha mtaji tutakachopanga kuanzia...hayo ni makubalino tu mkuu....
 
Habari wana JF

Nahitaji partner ya kufuga nae kuku wa kisasa na kienyeji kibiashara anayepatikana mkoa wa Arusha hususani Arusha mjini....akiwa na mabanda na eneo la ufugaji itakuwa vema zaidi maana sina eneo kwa sasa...kwa aliye tayari anipm tuonane kwa mazungumzo zaidi.

Ahsante!!!
Nitafute, cheki PM yangu....
 
Back
Top Bottom