Msaada ;Ni mbegu gani nzuri ya Alizeti?

Msaada ;Ni mbegu gani nzuri ya Alizeti?

Nahitaji kujua mbegu nzuri na inayozaa zaidi au mapato mazuri ya alizeti!!!

wadau hivi ekari moja ya alizeti kwa wastani niaweza kutoa gunia ngapi kwa kutumia mbegu bora?
 
Nalindele mtwara wanaweza kuwa na msaada sana kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom