Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanafikiria ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha tunavuna maji ya mvua kwa namna ambayo tunaweza kuyatumia kwenye shughuli zetu za kilimo hasa huko vijijini.
Ni kipata pakuelezea wazo langu na kufanyiwa kazi ninaamini kwamba litatatua matatizo yetu katika changamoto ya ukame/ukosefu wa maji. Hii njia itakuwa suluhu kwani itajikita zaidi kutoa huduma hiyo kwa bei nafuu ili kwamba mtu yeyote huko vijijini anauwezo wa kulipia na ikiwezekana anapewa kwa mkopo halafu akalipa baada ya mavuno.
Ninajua kwamba kutajuwa changamoto ya upotevu wa maji wakati wa umwagiliaji lakini tukishirikiana pia tunaweza tukazalidha mipira ya kumwagilia kwa njia ya matone kwa bei rahisi. Tusitegemee sana kwa kuchukuwa technolojia za watu bila kuzifanyia editing. Wao wametengeneza na kuuza kwa bei hizo kwa sababu watu wao wanauwezo wa kumudu gharama hizo.
Kwa hiyo mwenye connection na watu wa SIDO au VETA wanaweza kunisaidia ili nione nafanyaje ili niwape changamoto zangu nione kwa pamoja tunazitatuaje
Namba zangu: 0767723008
Kwa sasa nipo Bagamoyo