Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 432
- 694
Hallo,
Guys kama mmnakumbuka nilikuwa nikitafuta mashamba tangu mwaka jana November hatimaye Week iliyopita nimepata viji heka vitano maeneo ya msolwa ukitoka chalinze kama unaelekea morogoro..
Sasa naombeni wazo kuna hivi vitu natamani kulima pale ila sijajua wataalamu wa hali ya hewa,udongo na Ukanda husika mnishauri kama yana wezekana..
Pia wataalumu naombeni mnishauri kati ya mazao haya ni lipi linafiti maeneo hayo au kama katika haya hakuna zao gani mnalo jua lina uhakika maeneo yale ya Bwawani, Msolwa mpaka Ufipa??