Wananchi wa mtwara na lindi wekezeni

Wananchi wa mtwara na lindi wekezeni

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
281
Reaction score
170
Ni aibu!aibu!aibu!mtu kapokea milion 25 kama faida ya jasho lake la ukulima na kisha miezi minne mbele anasema kwa sauti pana kijiweni.....'SINA HELAAA DAH'....sasa unataka upewe nin tena.....unachokumbuka ukipata pesa ni upuuz tofaut na uwekezaj....kumnywesha soda mbuzi na kukesha hotelini na familia nzima bila kupika....shame on yu!! sio kila mwaka lazima ulime....wekeza kesho watu walime kwa ajili yako.......
 
Back
Top Bottom