Taratibu za kufuata katika Kusafirisha nje Mazao ya Uvuvi.

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
564
1,548
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Ninahitaji kusafirisha Dagaa nje ya nchi katika nchi jirani. Sasa kumekuwa na kamta kamata kila kona kuanzia huko kwa wavuvi mpaka mipakani, wote wanadai vibali vya Fisheries. Sasa naomba yeyote anayejua Taratibu za kufuata kisheria katika kusafirisha samaki au dagaa nje ya nchi anijuze. Pia kama kuna mtu anajua sheria, sera au miongozo yakufuata anipe ujuzi hapa. Vilevile naomba Tovuti ya wizara hasa idara husika ya uvuvi labda naweza ambua kitu huko.
Asanteni sana na naombeni sana msaada wenu.
 
Hili ni jambo muhimu ninachoshangaa sioni wahusika watoe ufafanuzi.Badala ya kuvizia watu mipakani na kuwakamata kwanini msitoe elimu humu ili watu wafanye biashara kwa kufuata sheria?
 
Back
Top Bottom