jashmoe32 JF-Expert Member Dec 4, 2012 1,089 424 Mar 2, 2017 #1 Habari Wakuu, Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20. Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
Habari Wakuu, Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20. Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,958 2,954 Mar 9, 2017 #13 Dom elfu 20 soko kuu majengo elfu 22 soko la miembeni
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,767 29,721 Mar 9, 2017 #14 NZURI PESA said: Dom elfu 20 soko kuu majengo elfu 22 soko la miembeni Click to expand... Kibaigwa je??
NZURI PESA said: Dom elfu 20 soko kuu majengo elfu 22 soko la miembeni Click to expand... Kibaigwa je??
dariro JF-Expert Member Mar 26, 2016 276 286 Mar 9, 2017 #15 hivi mahindi mapya tutarajie mwezi wa ngapi? dodoma ngo'ngo'na yanauzwa 21 elfu
ms2016 Member Oct 11, 2016 81 69 Mar 11, 2017 #17 khalifa awe said: 25000 Dodoma Click to expand... DODOMA 21000/- makuluu hapa weeeeeeeeee uko wap?
Rogart Ngaillo JF-Expert Member Apr 27, 2013 908 1,911 Mar 11, 2017 #18 Molembe said: Mbeya nasikia yapo chini sana. Click to expand... Ni Sh. 16,000/=
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,203 37,897 Mar 11, 2017 #19 Huku 2000. Huku kwa Bashite. Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
jashmoe32 JF-Expert Member Dec 4, 2012 1,089 424 May 19, 2017 Thread starter #20 Wajumbe tupeane tena updates za bei za mahindi mana kuna watu wanasema bei zimeshashuka mfano Mbeya ndoo ya lita 20 ni 12,000
Wajumbe tupeane tena updates za bei za mahindi mana kuna watu wanasema bei zimeshashuka mfano Mbeya ndoo ya lita 20 ni 12,000