Masoko ya mazao ya muda mfupi

Masoko ya mazao ya muda mfupi

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,905
Habari wazalendo wa nchi hii yaani wakulima,

Niona nifungue uzi huu kwa wale wakulima wa mazao ya muda mfupi, ili tufahamishane hali ya soko bei kupanda na kushuka, lakini pia tupeane taarifa ya mazao ambayo bei ni nzuri kwa faida ya mkulima kibiashara.
Na maanisha mazao kama nyanya, matango, hoho, pilipili, bamia nk


Kwa wakulima wa kwny greenhouse pia njooni mtupe uzoefu mazao gani yanalipa zaidi kwa mikoa ya pwani, Dar, Tanga na mikoa kama hiyo !

Ahsante, natumaini michango ya nguvu !

Karibuni !
 
Back
Top Bottom