Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kufuga nguruwe lakini nina changamoto moja kubwa ninayoipata hivyo nahitaji mtu wa kuingia nae ubia tufanye pamoja.
Vigezo:
i. Huyo mtu awe na eneo la...
Habari
Naomba mtu yeyote anaefuga nguruwe nimtembelee na kuona ili kujifunza zaidi
Naishi dar niko tayari kufika kokote pembezoni mwa dar kama mkuranga, rufiji, kibaha, mlandizi, morogoro na...
Habari za leo natumaini wazima wote.
Nipo na mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, naomba ushauri kwa ufugaji wa nguruwe.
Nahitaji kujua gharama za nguruwe mmoja kumtunza kwa...
Kwanza watoto wa nguruwe wanapozaliwa siku ya kwanza mpaka ya tatu wanatakiwa wachomwe iron mara moja then wakimaliza wiki moja wanatakiwa wachomwe Gentaject pamoja na introvite hizo ni...
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
Nimeamua kujihusisha na masuala ya ufugaji baada ya kukosa matumaini ya kuajiriwa nilianza na kuku wa kienyeji 8 mwaka jana mwezi wa tisa sasa wapo 52.pia mwezi wa nne tarehe moja nimenunua...
Guys huu ugonjwa wa Nguruwe unaua banda zima kwa siku moja nini kinga? Ukishatokea inabidi ufanyeje kurudi kwenye game? Wale Vitoto vinavyobaki vinafaa kuendelea kufugwa au vinakuwa tayari navyo...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Wadau,
Kama mada husika hapo nina shamba kubwa la mihogo changamoto kubwa niliyonayo ni nguruwe usiku wanafanya uharibufu.
Naomba mawazo na maarifa ya kuwadhibiti
Ahsanteni
Serikali ingilieni kati, Mbolea imekuwa na masharti magumu kununua, sasa hivi hakuna kupima kwa kilo, kila mkulima analazimika kununua mfuko wa Kilo 50 ambao bei yake ni sh 50,000-55,000 wengine...
Naomba nitoe wito kwa wanasiasa, watuache sisi wakulima wadogo wadogo tuendelee na maisha yetu haya ndio maisha yetu, tunaomba wasituhamishe kufanya kitu kingine ambacho hatujakiona, miaka yote ma...
The Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Ms Jenista Mhagama said that the project will closely involve...
Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu....
Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban...
Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko
Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya...
Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko
Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya...
Heshima mbele,
Kuna eka 4 nilianda shamba Pwani ,nataka kuchanganya mazao karibia manne .
Hamna source ya maji so nataka kucheza na hizi mvua.
Naomba msaada na ushauri niweke mazao gani hasa yale...