Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wandugu naomba mnisaidie kutoa ushuhuda hapa kwa aliewahi kutumia hizo mbolea hapo juu. Mimi nimetumia kwenye mahindi ni wiki ya 3 sasa sioni mabadiliko ninachokiona ni mahindi yanazidi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama zimebadilika...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari wana JF....samahani naombeni ushauri nahitaji kufanya ishu yakupannda ile miti yambao..samahani naombeni ushauri wenu maeneo gani yanafaa na miti haina gani inaota haraka na nikianza na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Salaam, Huu ni msimo wa kilimo hapa nchini kwa wakulima wakubwa na wadogo. Serikali kupitia viongozi wake wakuu imekuwa ikihamisha utumiaji wa mbolea na uanzishwaji wa viwanda vya kutengeneza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,mimi ni mfugaji mchanga wa kuku,nimekuja kwenu kama njia ya kujifunza kutokana na changamoto nilikutana hayo,natumaini humu kutakuwa na magwiji kwenye hii fani ya ufugaji kuku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwana jf ,karibu katika fursa kubwa ya kilimo chenye tija. Ni kilimo cha kisasa kijulikanacho kama vijiji biashara, ni chini ya ujio wa kampuni liitwalo Namaingo Bussness Agency ambapo utasaidiwa...
0 Reactions
69 Replies
16K Views
Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimebahatika kupata mtaji ambao nimeona nifungue kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya alizeti. Sasa naomba wenye uzoefu na machine za kukamulia alizeti, bei ya...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Wakuu habari za majukumu! Kutokana na ukosefu wa ajira nimepata wazo la kufuga kuku wa nyama baada ya kufanya utafiti wa soko la hao kuku.Napenda niongelee moja kwa moja kuwa kwa sasa sina idea...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu!! Katika Miaka ya hivi karibuni kumetokea Wadudu (mafinyo) kwenye Zao la Mahindi. Wadudu hao wamekuwa wakiharibu Mazao haya ya Mahindi na kupelekea Mmea kushindwa kuweka...
1 Reactions
22 Replies
18K Views
Wadau, wataalamu na wakulima wa korosho, bila shaka mmesikia ugonjwa wa kunyauka kwa miti ya mikorosho ulioikumba Mkuranga. Naomba kuuliza, je ugonjwa huu unaweza kuenea mpaka Kilwa, Lindi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ningependa kujua namna ya matumiz nimekusanya ninayo gunia kama mbili nataka kuweka kwenye matikit,nyanya na vitunguu msaada namna ya kuwekea
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habar ndugu zangu mimi kijana mwezenu natafuta mkulima anaye lima matikiti tufanye biashara kama Kuna mtu ani pm fast
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi. Nitashukuru kujua hilo
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Katika miaka ya hivi karibuni,na hasa mwaka huu,tumeona uharibifu mkubwa wa zao la mahindi na viwavi aina ya Maize Stalkborers.Zipo dawa za kudhibiti wadudu hao,lakini dawa hizo ni ghali kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom