Tanzania inatumia gharama kubwa kuzuia karafuu, mahindi, kahawa, ng'ombe, madini na bidhaa nyingine zisivushwe nje ya mipaka yake na wakulima, wafugaji na wachimbaji wadogo Wa madini kwa lengo la...
Uhifadhi huu mahindi kwa wakulima aukuanza jana wala leo.
Utunzaji huu ulikuwepo kipindi kirefu sana kwa wakulima wa mahindi, yakishavunwa kutoka shambani.
Hutengenezewa kiota chake cha...
Wakuu,
Naomba mnijuze kuhusu miche ya mikorosho ambayo inauwezo wa kukua baada ya miaka mitatu na kuanza kuzaa. Na mahali inapopatikana.
Naishi Dar es Salaam na Pwani.
Habari wakuu?.
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo juu; nilianza na kuku wa kienyeji 10 kama wazaz (9 tetea na jogoo 1) na bahati nzur niliwatunza vizur na wakatotoa jumla vifaranga 94...
habari ndugu zangu,
mimi ni mjasiriamali ninahitaji ushauri kutoka kwenu wazoefu wa kilimo,nina eneo la ekari kadhaa eneo la kisarawe nahitaji kuanza kilimo ,je ni zao gani kwa ushauri wenu...
Salamu wana JF
Naleta mada hii ya uzoefu wangu katika kufuga kuku wa nyama (broilers).
Nimekuwa mfugaji kwa miezi sita sasa. Awali nilipewa matumaini sana kuwa wana biashara nzuri kama ambavyo...
Niliwahi sema kwamba Commercial Breeds ni mbili pekee nazo ni
1. Layers
2. Broiler.
Sasa kuna watu wanakuja na hoja mfu mara kuroiler mara sijui nini.
LAYERS
Layers kuku wa mayai ndo wanaotaga...
Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
Wakuu kwa Wiki Mbili sasa nashuhudia magari kwa magari ya kisomba mitambo ya kiwanda kipya kinacho tarajiwakujengwa Mjini singida na Mount Meru Millers Co Ltd,
Mitambo hiyo imekuwa ikisombwa...
Nataka kupanda miche shimo mpaka shimo mita 2.0 halafu nikipata hiyo miche kwenye mistari ya 2.0 nitatenganishwa kwa upana wa mita 2.5. Nahitaji kujua kwenye ekari moja nitaweka miche mingapi...
Wadau Nina shida ya kuanzisha hatching business. Eneo nililopo kuna uhaba wa kupata vifaranga pia ni mkoa ambao hakuna MTU au kama wapo ni wachache sana wanaofanya hii business.
Nimekuwa...
TPBA ni umoja wa watotoleshaji wa vifaranga wa ndege wafugwao na wazalishaji wa mayai ya kutoloesha vifaranga wa ndege wafugwao.
Mtu yeyote au kampuni yoyote yenye sifa ya kuwa na ndege 250 au...
Habari za asubuhi wana jamiiForum, nimefanikiwa kulima kabeji na ziko katika hatua za mwisho mwisho. Lakini kuna tatizo limejitokeza yaani zinapasuka, kwa maana nyingine zinafumuka kwa kupasuka...
Natumaini haujambo wewe unayesoma hii mada.
Leo napenda kuwaleteeni habari njema ya kuwasaidia wafugaji wa kuku, bata, nguruwe, sungura, ng'ombe nk. Habari yenyewe ni kuhusiana na uwezekano wa...