Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Habari wakuu?.
Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo juu; nilianza na kuku wa kienyeji 10 kama wazaz (9 tetea na jogoo 1) na bahati nzur niliwatunza vizur na wakatotoa jumla vifaranga 94. Nilinyang'anya vifaranga na kuwatunza mimi ili mama zao waanze kutaga tena na kweli hii ni wiki ya tatu tetea wote wanatetea na mmoja kaanza kutaga.
TATIZO:
vifaranga baada ya kuhangaika nao kwa wiki tatu ni vifaranga 3 tu ndo walikufa na waliobaki wanaendelea vizur japo vifaranga 6 wametoka manyoa yamebaki machache sana ya kwenye mbawa na mkia, JE HILI NI TATIZO GANI NA NINI UTATUZI WAKE!?.