Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa. Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Neno Nidhamu lina maana kubwa sana katika safari yoyote ile ya mtu ya kukimbilia katika maisha ya mafanikio makubwa anayoyataka hapa duniani. Kama unahitaji kuwa bora na mwenye mafanikio mazuri...
9 Reactions
2 Replies
11K Views
Kama swali linavyo eleza, wadau ninamagunia yangu ya tangawiz, nimesikia soko la nje lina lipa, nahitaji kusafirisha kwaajili ya masoko nje, wadau taratibu zikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba mnusaidie kunielekeza dawa ya kutibu mdondo wa kuku. Naomba iwe ya kienyeji bandugu
0 Reactions
14 Replies
7K Views
He inatakiwa na wastan wa mtaji wa sh ngpi naomba ushauli wako rahim mlowe npo ifunda iringa 0656607185 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kujua yale mayai ambayo yanafaa kutumika kutotolesha vifaranga vya kuku wa nyama yanapatikana wapi kwa mkoa wa Arusha. Vifaranga vimekuwa adimu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za Jioni wadau. Kama wewe ni mtaalamu wa kuandaa business plan karibu PM. Nahitajia Kuandikiwa Business plan ya ASAP
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepitia post nyingi za kilimo na ufugaji na wengi wao katika ufugaji wamejikita katika ufugaji wa ndege aina ya kuku, bata, bata mzinga, na wadudu wengne kama nyuki Nataka kufaham kuhusiana na...
0 Reactions
16 Replies
19K Views
Tafadhali kwa wale wanaojua magonjwa ya mimea hasahasa mahindi, (i)Naomba mnijuze huu ni ugonjwa gani kwenye hili hindi? (ii) Nawezaje kujikinga ntakapopanda mahindi tena msimu ujao. Naomba...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFANGA Ni imala na nivikubwa Vinatumia mkaa kidogo kwa muda mrefu, vinatunza joto kuanzia masaa 12-15 kama mkaa utakuwa mzuri. Chungu kimoja kina uwezo wa kutoa joto...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi nimeanza na Kiuadudu 'Suba Chlo 55EC+' yenye viambajo Aminifu 1. Chlorpyifios 50% 2. Cypemethrin 5.0% 3. Inert ingredients 52.0% Nilichanganya na 'MULTI-TRIACARB 500SC' yenye Viambajo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau.. Napenda kilimo kwa kweli..huwa nikipita sehemu nikaiona ardhi nzuri na kando kando pana kijito cha maji..moyo wangu huwa unapepea. Ni kwa muda nilikuwa nawaza ni kwa namna...
1 Reactions
14 Replies
15K Views
Wakuu kwema?? Ninalo shamba mahali ambako nilipanga nichimbe kisima kirefu kwa ajili ya Kuweka Drip Irrigations System ambako ningekitumia hicho Kisima. Sasa kuna Rafiki yangu mmoja yuko kama...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Wanajamvi wenzangu mimi nipo kanda ya ziwa maeneo ya Muharamba Nkome Geita, kwa maeneo haya msimu wa mvua umeanza, ningependa mnijulishe ni mbegu ipi ya kitaalam itakayonifaa kwa kilimo na kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Wakulima wenzangu, habari za majukumu Moja ya tatizo kubwa linalopunguza uzalishaji wa mazao kwa wakulima wetu ni matumizi ya Ardhi yenye alkali kubwa kupita kiasi. Hapa namaanisha...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Naombeni msaada, kuku wangu wa kienyeji hawataki kulalia mayai ili kupata vifaranga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuwashirikisha vijana wenzangu kwa hili, naomba kujua mkoa gani naweza kufanya kilimo cha Mahindi na Maharage nikafanikiwa kwa 100%??? Kwani ile biashara yangu ya mkaa naona LOSI...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
"NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu" Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom