Kuhifadhi mahindi kwa njia ya asili

Kuhifadhi mahindi kwa njia ya asili

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,715
Uhifadhi huu mahindi kwa wakulima aukuanza jana wala leo.

Utunzaji huu ulikuwepo kipindi kirefu sana kwa wakulima wa mahindi, yakishavunwa kutoka shambani.

Hutengenezewa kiota chake cha kuhifadhiwa kama hiko kwenye picha kinavyo onekana jua likija hapo yanapata nafasi ya kukauka vizuri baada ya muda hutolewa kwenye kiota na kupukuchukuliwa, na kupelekwa kwenye kinu na kuwa unga tayari kwa kusongwa ugali na kuliwa

PICHA HII NILIIPIGA WILAYA YA LULINDI MKOANI MTWARA NILIKUWA HUKO KWA MATEMBEZI.
IMG_20180706_121238.jpg
IMG_20180706_121230.jpg
IMG_20180706_121202.jpg
IMG_20180706_121202.jpg
 
Mkuu, tatizo huku mjini hatulimi.. Tukipanda basi ni ya kuchoma/kuchemsha
 
Ni njia nzuri, ila changamoto ukiwa na shamba kubwa kama ekari 10, 20, 30, hadi 50, sijui utatumia nafasi kiasi gani na nguvukazi kuweza kuanika hivyo.
Pia maeneo mengine mvua zinateremka wakati wowote, bado itakuwa hasara. Labda sehemu ambazo mvua ikishakata mwezi wa tano ndo mpaka November au October.
Kila mbinu inabidi uangalie faida na hasara zake
 
Back
Top Bottom