CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Niliwahi sema kwamba Commercial Breeds ni mbili pekee nazo ni
1. Layers
2. Broiler.
Sasa kuna watu wanakuja na hoja mfu mara kuroiler mara sijui nini.
LAYERS
Layers kuku wa mayai ndo wanaotaga mayai ambayo yana demand kubwa sana na yana matumizi mengi sana.
1.Kukaangia Chips.
Haya ni matumizia makuu ya mayai. Wakaanga chips ndo consumer namba 1 wa mayai kwa miji mikubwa kama Dar au Morogoro au Mwanza na Pia Arusha.
Chips mayai ni chakula cha lower income au watu wa kipato cha chini na hawa ndo wengi sana Tanzania hii.
Mayai yanayotumika nadhani mnayajua.
2. Viwanda vya Bekary.
Hawa ni watumiaji wengine wakubwa kabisa wa mayai. Viwanda kwa sasa ni vingi sana kutokana na life style ya sasa.
Hivi viwanda havitumii mayai ya kienyeji hata siku moja kwanza hawana huo muda.
3. Mahotelini.
Mahoteli yote makubwa kwa madogo pia ni watumiaji wakubwa sana wa mayai haya.
Nina watu wangi wana oda za trei kwa trei za mayai kwenye hoteli kubwa.
4. Viwanda.
Kuna viwanda kadhaa pia hutumia mayai kwenye shughuli zao.
5. Matumizi ya nyumbani.
Haya ndo matumizi ya mwisho na madogo sana.
Hapa sasa ndo kienyeji inapochukua advanantage.
MAYAI YA KUKU WA KIENYEJI.
Haya yana matumizi ya aina moja tu.
1. Matumizi majumbani kwa ajili ya kula na kukaangia watoto au kuchemsha na kunywea chai.
Hapa unakutana na Middle class ambao ndo watumiaji na pia ni wachache sana tena mno.
Hivyo hakuna namna mayai ya kienyeji yakashindana na mayai ya kisasa na acheni story za vijiweni na FB kudanganyana.
KINACHOANGAMIZA WATU
Watu wengi ninaowaitaga washikiwa akili huja na madai ya bei..
Kinachoangamiza watu ni kuona kwamba trei ya mayai ya kisasa ni bei ya chini na trei ya mayai ya kienyeji iko juu.
Hilo nakubaliana nalo.
Ila bei haidetermine profiti hata siku 1.
ANGALIA
1. Pay back period ya biashara hicho ndo muhimu.
2. Mahitaji makubwa yako wapi?
Hili swala la bei huwa linamaliza watu wengi na si kwenye mayai tu bali hata kwenye kilimo na mambo mengine.