Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFANGA Ni imala na nivikubwa Vinatumia mkaa kidogo kwa muda mrefu, vinatunza joto kuanzia masaa 12-15 kama mkaa utakuwa mzuri. Chungu kimoja kina uwezo wa kutoa joto...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi nimeanza na Kiuadudu 'Suba Chlo 55EC+' yenye viambajo Aminifu 1. Chlorpyifios 50% 2. Cypemethrin 5.0% 3. Inert ingredients 52.0% Nilichanganya na 'MULTI-TRIACARB 500SC' yenye Viambajo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau.. Napenda kilimo kwa kweli..huwa nikipita sehemu nikaiona ardhi nzuri na kando kando pana kijito cha maji..moyo wangu huwa unapepea. Ni kwa muda nilikuwa nawaza ni kwa namna...
1 Reactions
14 Replies
15K Views
Wakuu kwema?? Ninalo shamba mahali ambako nilipanga nichimbe kisima kirefu kwa ajili ya Kuweka Drip Irrigations System ambako ningekitumia hicho Kisima. Sasa kuna Rafiki yangu mmoja yuko kama...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Wanajamvi wenzangu mimi nipo kanda ya ziwa maeneo ya Muharamba Nkome Geita, kwa maeneo haya msimu wa mvua umeanza, ningependa mnijulishe ni mbegu ipi ya kitaalam itakayonifaa kwa kilimo na kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Wakulima wenzangu, habari za majukumu Moja ya tatizo kubwa linalopunguza uzalishaji wa mazao kwa wakulima wetu ni matumizi ya Ardhi yenye alkali kubwa kupita kiasi. Hapa namaanisha...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Naombeni msaada, kuku wangu wa kienyeji hawataki kulalia mayai ili kupata vifaranga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuwashirikisha vijana wenzangu kwa hili, naomba kujua mkoa gani naweza kufanya kilimo cha Mahindi na Maharage nikafanikiwa kwa 100%??? Kwani ile biashara yangu ya mkaa naona LOSI...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
"NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu" Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua uendeshaji wa kilimo cha chikichi kwa heka moja kuanzia kupanda mpaka kuanza kuvuna kwa mbegu ya miaka 3/4.kiwango cha mafuta unachopata kwa heka kwa mwaka wa tatu, nne na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa miaka ambayo nimekuwepo hapa JF kama mwanachama, nimeelimika vilivyo, nimeburudika kiasi cha kutosha, nimefarijika na kufaidika na mengi kwa ujumla. Moyo wangu daima unajihisi kukosa fadhira...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wasalaam walimu!,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi ni Lita ngapi zinahitajika kumwagilia nyanya kwa heka moja kwa mfumo wa drip
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Poleni na majukumu! Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu. Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana MMU!! Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita. Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Nipo Dar, wapi nitapata mbegu za mizabibu? Nataka kupanda nyumbani kwangu as a garden. Kama naweza kupata kwako naomba unitafute. 0658103810. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Back
Top Bottom