Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Naomba mwenye kujua uendeshaji wa kilimo cha chikichi kwa heka moja kuanzia kupanda mpaka kuanza kuvuna kwa mbegu ya miaka 3/4.kiwango cha mafuta unachopata kwa heka kwa mwaka wa tatu, nne na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa miaka ambayo nimekuwepo hapa JF kama mwanachama, nimeelimika vilivyo, nimeburudika kiasi cha kutosha, nimefarijika na kufaidika na mengi kwa ujumla. Moyo wangu daima unajihisi kukosa fadhira...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wasalaam walimu!,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi ni Lita ngapi zinahitajika kumwagilia nyanya kwa heka moja kwa mfumo wa drip
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Poleni na majukumu! Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu. Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana MMU!! Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita. Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Nipo Dar, wapi nitapata mbegu za mizabibu? Nataka kupanda nyumbani kwangu as a garden. Kama naweza kupata kwako naomba unitafute. 0658103810. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Nimeaza kujishulisha na ufugaji wakuku wa kienyeji toka mwaka jana Nimekumbwa na tazizo la kuku wangu kuwa wana koroma na kukohoa Naombeni mnisaidie ni tumie dawa gani kuwatibu hawa kuku wangu
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Nina gunia hamsini za mahindi ya njano aina ya CP 201naomba kujuzwa soko lake Kwa Dar es salaam au Tanga.Shukurani wadau
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga, matunda, maua, viungo na dawa. Wataalam na wakulima tukutane hapa. ============================================== Kwa kuanza niongelee...
7 Reactions
307 Replies
108K Views
Heshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Ni mtandao wa mashirika ,vikundi mwamvuli na makampuni yaliyoko kwenye sekta ya kilimo.Mtandao huu wa ANSAF ulianzishwa Tanzania mwaka 2006 kwa madhumuni makuu yafuatayo; ✓kufanya uchechemuzi kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi kama mkulima namkaribisha kwa furaha Mkuu wa Wilaya aliyechaguliwa hivi karibuni. Wenzake wote hilo tatizo limewashinda ama walizembea. We fikiria umelima mahindi na mihogo unataka kuvuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye hoja; tunatotoresha mayai aina zote; kiwanda chetu cha utotoreshaji (incubators) ni cha kisasa kabisa; hatching ration ni 98% karibu. Tray moja ni sh 8,000 tu. Pia tunauza...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hivi majuzi wakati Mheshimiwa rais anawaapisha mawaziri wapya aligusia kidogo hali ya soko la kahawa na alitoa kauli kwamba Ushirika 'usilazimishe' kununua kahawa kama hauna uwezo huo. Akaenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari,, kama wewe ni mdau w Kilimo kwa namna moja au nyingine yaani kuanzia kwa mkulima mfanyabiashara wa mazao, pembejeo , Dawa ,Mbegu nk. Sasa unaweza kuwafikia Wateja na walengwa wako kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wana JF wote! je ni kampuni gani hapa Tanzania inaweza kufunga "efficient drip irrigation system" maana hii teknolojia ya umwagiliaji inasekana kuwa ya ufanisi mkubwa. Nakarisha wadau wote...
1 Reactions
42 Replies
16K Views
Habarini wana jf Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze Akizingatia sana nalima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom