concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Wadau Nina shida ya kuanzisha hatching business. Eneo nililopo kuna uhaba wa kupata vifaranga pia ni mkoa ambao hakuna MTU au kama wapo ni wachache sana wanaofanya hii business.
Nimekuwa interested sana na incubator za kichina kutokana na bei take kuwa chini. Target yangu ni kuwa na incubator ya mayai 20000. Na bei nilizopewa zinachezea kwenye USD 2300-3000 FOB.
Sins uzoefu wa kuziendesha na plan nuajiri MTU .
Ishu ya kupata mayai bado natafuta supplier wa kuniuzia fertilized original eggs, hasa kwa kuku watagaji. Mwenye idea yoyote anaweza nisaidia