Msaada:Nitawajuaje hawa kuku aina ya kuchi na karakacha?

Msaada:Nitawajuaje hawa kuku aina ya kuchi na karakacha?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,828
Nataka niagize hao kuku kutoka Tabora,jamaa amesema atanitumia picha whatsapp nimemwambia anitumie na clip video.....msaada nitawatambuaje wakifika?
 
Back
Top Bottom