Wanapatikana wapi aisee, nawatafuta kweliHongera sana mkuu me ninao wana week tatu nashukuru wanaendelea zivuri sana paka alitaka kunitia umasikin lakin nimemdhibit
Mkuu vifaranga wake wanapatikana wapi?Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
Nipo Morogorowewe uko wapi ?
Mimi nilinunulia pale cona ya tegeta nyukiWanapatikana wapi aisee, nawatafuta kweli
Hongera ndugu! Kwa hatua uliyoifikia, Mimi nimeshawahi kuwafuga ni mwaka mmoja tu saizi nimeanza kufuga kuku aina ya kuchi.Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
Mkuu hongera kwa hatua hiyo,vipi umesema wanapatikana ukitoa order.Vipi gharama zake zikoje??Vipi naweza kupata baada ya muda gani tangu siku ya kutoa order??hawa kuku kwa sasa wana patikana maeneo mengi tz ktk poutry productions wanaenea kwa kasi maana kuku hawa ni madini wana vumilia kila hali na magonjwa hapo morogoro wapo ngoja nikutafutie namba za wahusika kwa huko but mi nili combine na washkaji Tukaagiza 1000 wale og malawi kabisa maana nilipo ni mpakan kabisa na malawi then tuka gawana hata hapa nilipo wapo lakin kwa order
asante mzaz maana nilikua nishaanza kupagawa wanavyo kula aiiiseee
Ili kupangiwa muda ina bidi usemeMkuu hongera kwa hatua hiyo,vipi umesema wanapatikana ukitoa order.Vipi gharama zake zikoje??Vipi naweza kupata baada ya muda gani tangu siku ya kutoa order??