Android system webview

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
625
250
Habari wanajamii ninaomba kufahamu kuhusu hii app inasaidia nini ktk simu kwasababu ninaona inakula space kwa mb70 ukiupdate ninatumia tecno w4,app yenyewe ni android system webview
 

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,076
2,000
Habari wanajamii ninaomba kufahamu kuhusu hii app inasaidia nini ktk simu kwasababu ninaona inakula space kwa mb70 ukiupdate ninatumia tecno w4,app yenyewe ni android system webview
Simu yako umei-root...?
 

robione

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
588
500
System web view inasaidia kufungua browser ndani ya app kwa mfano umeingia kwenye app ya google now ukasearch kitu chochote kile baada ya ile result page ya g.now ukiclick link itafungua page ya chrome but still ukiwa kwenye app ya google now...au kwa mfano umeona link ya site instagram or whatever app you are using ukiclick hiyo link badala ya kuiua insta na kufungua browser itafungua page ya hiyo link huku ukiwa bado upo instagram....its usefull but not super important unaweza ukaroot na ku uninstall bila shida yoyote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom