Jinsi ya kulipa kwa playstore unapo upload application

paulchazzy

Member
Nov 20, 2014
68
5
Nilikuwa nahitaji kuweka application kwa playstore ila kuweka Inahitajika $25. Ila tatizo payment method lazima utumie PayPal nami PayPal account sina. Kama kuna ajuaye kutumia payment method nyingine tusaidiane na kama kuna mwenye PayPal account tuwasiliane. Au ambaye anaweza kuniuzia google play developer console tuwasiliane pia
Kwa pm au +255766640505
 
sina uhakika sana kwa kila app unayotaka kuipandisha/ upload lazima uilipie kwa kitu ninachojua ni ku upload bure maana ingekuwa unalipia app watu wa open source app wasingeweza kulipia app zao maana ingekuwa ni hasara.
 
SOLVED:
Kuweka application kwa playstore ni one time payment yaani unalipia $25 ambayo ni kama Tsh. 50,000 ili kufunguwa account ambayo ni google console publisher .Ukiwa na hiyo account unaweza upload applications nyingi uwezavyo ilimradi ufuate terms & conditions za google play store.
 
Kuweka ni lazima ulipie
 
Hakikisha unakadi ya benki ambayo ya visa, pili jiunge na paypal ili kulipia kupitia paypal maana ni safe zaidi kuliko kutumia kadi moja kwa moja kufanya malipo. Kwenye malipo utatakiwa kuingiza kard namba na hao jamaa watafanya muamala. Karibu.
kujiunga paypal ingia kwenye mtandao (google) tafuta paypal fungua website yao tafuta sehemu ya sign up for payment services. au fata link hii PayPal
 
Back
Top Bottom