APP YA KUTUNZA PICHA AUTOMATICALLY

APP YA KUTUNZA PICHA AUTOMATICALLY

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Wadau natafuta app gani ya android ambayo nikipiga picha kwa simu inasave automatically na hata ikitokea nimefuta picha zote basi inaweza kunifanya nikazipata tena
 
Wadau natafuta app gani ya android ambayo nikipiga picha kwa simu inasave automatically na hata ikitokea nimefuta picha zote basi inaweza kunifanya nikazipata tena
Photobucket, Dropbox....
 
Google Photos ila inaupload online so inakula data.
 
Back
Top Bottom