Wakuu habarini ..
nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active...
Waungwana naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata google adsens, nimejaribu wapi nimefwata masharti yao lakini mwisho wa siku nimeshindwa kujiunga plz mwenye ako na roho ya huruma anisaidie na...
Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu...
Habari wadau?
Aise simu yangu imepata shida ambayo sijui ni kitu gani. Mara kadhaa nikigusa icon ya Facebook, simu inajizima na kuwaka tena yenyewe kisha inaendelea na kazi kama kawaida. Hapa...
Habari wataalamu.
Naomba kufahamishwa ni apps gani ambayo itafaa kutengenezea matangazo kwa kitumia simu.
Matangazo ya nafasi za shule matangazo yq biashara n.k.
Wiki iliyopita nimenunua simu aina ya Tecno boom J8 baada ya kusikia sifa zake nyingi kwa watu wanao zitumia lakini cha ajabu baada ya kuinunua wala sijaifurahia kabisa
Kwanza touch sensitivity...
heshima zenu wakuu.
Nimenunua home wifi devce ya airtel juzi ila nashindwa kuifanya ianze kurusha wireless network lwa simu na pc hapa home. kwa anayejua please?
airtel nimewapigia ila...
Wadau Habari zenu jamani.....
Nina ombi kwa wale wataalam wa YOUTUBE mnisaidie nifanyeje ili niongeze CPC za adsense yangu na pia kuna trick gani ya kuongeza Subscribers katika channel?
ASANTENI
Virus Science
Adware
Adware is software that presents banner ads or in pop-up windows through a bar that appears on a computer screen. Those advertising spots usually can't be removed and are...
Habari wanajakwaa, kwa wale wajuzi naombeni msaadaa nikitaka kudownload program
#macromedia fire work
#na ashampoo au Nero kwenye PC naweza tumia website gani kupata za free maana mwanzoni...
Naomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
JHabari za asubuhi!
Naomba msaada kwa wataalam wa laptop ukiiwasha inaandika "internal hdd hard error, strike f1 key to continue, f2 to run the setup utility"!
1. Baada ya kubonyeza kifungo F1...