Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanaJF, kupita kupita online nimekutana na kitu kama hichi ambacho ata mm nakitafuta, kwa anaeweza link hii hapa; Freelancer - Hire & Find Jobs
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Mchoro wa kikatuni cha Android kimenaswa katika mtandao wa Google Maps eneo la nchini Pakstani kikiwa kimechorwa kinakojelea alama ya kampuni shindani ya Apple. Google Maps ni huduma ya ramani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kuanzisha blog kwa anae jua anielimishe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu je naweza kufanya nn kuinstall older version ya whatsapp kwan nilionayo inaleta mapicha picha tu. Asante
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello Xbox 360 E nauza in JTAG kabisa au waweza sema jailbreak kama umezoea ivyo Lina games 35 ndani .Controller tutatoa 3 ,camera yake ya kuchomeka pamoja na CD 10 zingine free twakupatia
0 Reactions
12 Replies
3K Views
naombeni ushauri wenu nahitaji nunua iphone 6s+ iphone sjawahi tumia inasemeka ni simu nzuri sana ukiitumia na ukishaizoea huwezi tamani kutumia androd tena. Mimi nilikuwa naomba mwongozo au...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Kila nikituma video whatsap inabadilika rangi sijui kwanini
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Funga na kisha tupa ufunguo kabisa. Subiri kwanza…..Lakini hakuna ufunguo!. Watengenezaji wake wanaliita kufuli janja. Makufuli ya ‘TappLock’ ambayo yapo ya aina tofauti tofauti hayahitaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heri wakuu!? Nina tatizo moja ambalo naomba msaada wendu. Kuna account ya wife ya facebook naona inachezewa. Nimekuwa nikiona messages kama anajibizana na mtu,nikamuonya akadai si yeye...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu, natumia tecno w3 LTE, mtandao halotel na airtel, kuna baadhi ya sms nikitumiwa hazifiki ni kama kwa wiki mbili hivi na kwa yule aliyetuma zinaonyesha zipo delivered. Nahisi shida ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimekuwa nikijaribu kuroot simu yangu aina ya Tecno w Marshmallow lakini imekataa. Nimeambiwa njia pekee ya kuroot ni kwa kutumia Custom Recovery. Naomba mnijuze Custom Recovery...
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Wakuu wa kazi kijana mwenzenu nipo mbele yenu naomba mnisaidia jinsi ya kapata pesa kupitia blog maana nina kablog changu nimekaanzisha https:/sharifudon.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Mara nyingi simu yangu app zake huwa zinaandika has stopped eg; Facebook has stopped! Au system has stopped hii imekaaje?
0 Reactions
3 Replies
675 Views
wandugu naomba msaada nilidondosha sm yangu smart phone mm n miongon mwa watu wanaosev majina katika email adress tatizo limekuja sm yangu sikua nimeiweka patern wala password aliyeokota anafanya...
0 Reactions
5 Replies
586 Views
habari wakuu poleni na majukumu ya kila kukicha tafadhali kwa atakayeweza kunisaidia ninauhtaji tafadhali
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu ninatafuta simu yenye 4g, muhimu iwe kwenye condition nzuri. Whatsap 0755566334 ama 0713677312
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada kama kuna anaefahamu nataka kuroot huawei hii 530
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habarini za asubui wana jf.... mimi nlikua naomba msaada wa pc camera software mwenye link ya kudownload anisaidie tafadhali. natumia window 7..LAPTOP NI HP...natanguliza shukrani.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nahitaji msaada wenu Nina laptop yangu aina ya Dell Nilikuwa Naitumia vizuri lakini juzi imeanza tatizo la Kuwa nzito na kuchemka nikiwa naangalia movie inakaa mda Ikiwa Poa baadae inanza...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote mko na afya njema. Nimekua nikiona mitandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani kwa sababu ya kusambaza kitu kwa njia ya Watsapp , hii ina maana private...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…