Jamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
Wadau, habarini za kwenu? Kama tittle ilivo, nimepasua display yangu ya samsung ace j1 so kioo kama kimevujia wino ndani.. So natafuta kioo(display) hii simu.. Please kwa mawasiliano ni 0719058458
Ng'ombe hazeeki maini. Kampuni ya BlackBerry inatarajia kurudi tena sokoni kwa kuzindua Smartphone yake ya BlackBerry Keyone ambayo itakuwa na vitufe vya QWERTY na itatumia mfumo wezeshi...
Wakuu sijui ni kwangu tu au na kwenu pia, yani speed ya huu mtandao imekua zaid ya konokono.
Yani hata kufungua picha za instagram ni shida,huko YouTube ndo usiseme mpk nimeamua kushusha quality...
Nikirun hizi code...
def break_words(stuff):
"""This function will break up words for us."""
words = stuff.split(' ')
return words
def sort_words(words):
"""Sorts the words."""...
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi.
Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake.
Nawatakia...
Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba...
nina tatizo la modem kudisconnect. nilipokua natumia connection type ya RAS inayokubali dial up nilikua nalikwepa hili tatizo kwa ku-redial either kwa kuset connection kwenye control panel au kwa...
Leo pind napost nashapost katika blog yangu nikaona ujumbe huu je unamaana gan kiufafanuzi wa kina na hii ndio blog yenyewe www.webweekhow.blogspot.com pind n na hii ndio post yenyewe How Do...
Wakuu Naomba msaada. Simu yangu Ina internal capacity ya GB 8 ni Tecno W3. Lakin lakin kinachonishangaza inajaa upesi wakati ina app chache nlizozidownload. Pia sion opt ya kuhifadhi app kwenye SD...
Habari za mida hii wakuu?
Natumia laptop aina ya HP, hii laptop ilikuwa inashika Wi-fi kutoka kwenye simu yoyote au mahali popote penye wireless inanipa notifications na natumia bila shida kama...
watu wengi tuki nunua simu tuna taka hiwe inasoma 4g lakini hiyo 4g imegawanyika katika familia mbili ambazo ni TD-LTE na FDD-LTE.
ni tofauti kati ya TD-LTE na FDD-LTE ni nini?
yote ni matoleo...
Habari za jioni, nina tatizo juu ya jinsi ya kufanya PC yangu aina ya Toshiba kushare Internet kwenye vifaa vingine vinavyotumia Internet. Nimewahi kufuatilia 'Tutorial' moja ambayo ilinielekeza...
Mwezi wa Enceladus ambao uko kwenye sayari ya Saturn huenda ukawa mahali bora zaidi pa kwenda kutafuta maisha nje ya dunia.
Tathmini hii inatokea kufuatia uchunguzi katika sayari hiyo yenye...
Hivi tanzania hakuna programmer wa games nawakaribisha sasa tusome hata kwa kupeana ushauri , maoni na kusaidiana so far mi natumia UNITY3d kudesign na kucode game karibun sana .