willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,084
- 1,330
Hivi tanzania hakuna programmer wa games nawakaribisha sasa tusome hata kwa kupeana ushauri , maoni na kusaidiana so far mi natumia UNITY3d kudesign na kucode game karibun sana .
What if Mechanics ukaziprogramJe nini kuhusu animation attack
mkuu naweza kupata sample ya designs zako nichek mim ndo nmeanza kujifunza Unity3DHivi tanzania hakuna programmer wa games nawakaribisha sasa tusome hata kwa kupeana ushauri , maoni na kusaidiana so far mi natumia UNITY3d kudesign na kucode game karibun sana .