msaada: modem disconnection problem.

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
nina tatizo la modem kudisconnect. nilipokua natumia connection type ya RAS inayokubali dial up nilikua nalikwepa hili tatizo kwa ku-redial either kwa kuset connection kwenye control panel au kwa kutumia software ya reconnect ambayo ilikua inajiredial automatically. sasa nmechange connection type, natumia NDIS connection type ambayo ndo inawork vizur kwang ambayo haina dial up so siwez kureconnect iwapo modem itajidisconnect. msaada kwa anayejua jinsi ya kureconnect modem ikijidisconnect kwenye NDIS connection type.
 
Back
Top Bottom