Wakuu Naomba msaada. Simu yangu Ina internal capacity ya GB 8 ni Tecno W3. Lakin lakin kinachonishangaza inajaa upesi wakati ina app chache nlizozidownload. Pia sion opt ya kuhifadhi app kwenye SD card. Nkipakua app zote znataka zikae kwenye internal memory. Inaninyima raha ya kuwa na app nyingi.