Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 381
Habari za mida hii wakuu?
Natumia laptop aina ya HP, hii laptop ilikuwa inashika Wi-fi kutoka kwenye simu yoyote au mahali popote penye wireless inanipa notifications na natumia bila shida kama kuna access.
Lakini ajabu sasa wireless hazifanyi kazi mpaka nitumie USB kwenye simu. Kwa kweli shida za moderm nilikuwa nimemalizana nazo. Sasa nashindwa kuelewa tatizo liko wapi.
Naombeni msaada wenu wakuu.