JINSI YA KUCONFIGURE HOTSPOT KWENYE PC AINA YA TOSHIBA

JINSI YA KUCONFIGURE HOTSPOT KWENYE PC AINA YA TOSHIBA

Petro Oswald

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
2,393
Reaction score
1,912
Habari za jioni, nina tatizo juu ya jinsi ya kufanya PC yangu aina ya Toshiba kushare Internet kwenye vifaa vingine vinavyotumia Internet. Nimewahi kufuatilia 'Tutorial' moja ambayo ilinielekeza juu ya tatizo hilo ambapo nilitumia njia ya Command Prompt (Admin) sikufanikiwa, ila nilijaribu kutumia njia hiyo kwenye PC nyingine nikafanikiwa, sasa bado napata shida kujua tatizo lipo wapi, hivyo nahitaji msaada kutoka kwenu.
NAWASILISHA.
 
install program inayoitwa OSToto hotspot kwenye PC yako.
 
Back
Top Bottom