Google wamenitumia ujumbe huu je wunamaana gani? Please ufafanuzi zaidi waheshimiwa

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,117
Leo pind napost nashapost katika blog yangu nikaona ujumbe huu je unamaana gan kiufafanuzi wa kina na hii ndio blog yenyewe www.webweekhow.blogspot.com
Screenshot_2017-04-08-09-31-41.png
pind n
63310f4e89b0a57c7ba6ca86ec370feb.jpg
na hii ndio post yenyewe How Do I Start Create A Blog On Quora?
 
Sheria za EU zinasema kama website inatumia cookie lazima iwataarifu watumiaji wake. So google wameweka hiyo notice kwenye website yako automatically, kwa upande wako hauna cha kufanya funga tu huo ujumbe.
 
Back
Top Bottom