Salaam Wana JF!
Kwa wale wenye uelewa wa hizi mita za umeme za kisasa zinazofungwa juu ya nguzo - jinsi zinavyofanya kazi.
Mita hizi zinafungwa juu ya nguzo za umeme na keypad unakuwa nayo ndani...
Wakuu nana samsung galaxy note 1 ( gt n7000) gafla tu haisomi laini wala network haipandi nikaja kucheki haya IMEI NUMBER haisomi pia naombeni msaada kwa atakae weza pesa ipo.
Ndugu wapendwa habarini za jioni.
Wapendwa nina interest sana na kujua kompyuta hasa hardware na software, yaani ninapenda kuwa expert kwa maana ya fundi wa kutengeneza kompyuta.
Kwa wale...
Za kazi wakuu,
Nime-install Lineage 14.1( Nougat 7.1.1) kwenye Samsung S2, inafanya kazi vizuri, ila tatizo liko kwenye memory, OS imechukua karibu sehemu kubwa ya internal storage. Nimejaribu...
Katika kutembelea website ya ebay nikaipenda simu APPLE iphone 4s-16GB Verion ( Factory Unlocked) smart phone. This device is 100% fully functional having passed our industry leading inspection...
Maelezo yote yapo hapa, best of luck jamani.
Link: Bots for Messenger Challenge
For many years Facebook has been promoting innovation across the Middle East and Africa, providing startups with...
Naombeni msaada wa kununua simu mtandaoni kupitia mtandao wa Ebay, hatua za muhimu za kufuata pia hata kuitambua simu Ubora wake hata network yake, unaweza nunua halafu kufika TZ network locked.
Salaam wana jukwaa.
Nilipata taarifa flan kwamba kuna fundi anatengeneza inveter za kufua umeme wa AC kutoka DC at same time inatengengeneza DC ya kurudisha kwenye betri ilipotoa.
Kumbuka hapo...
Wakuu,naombeni msaada kwa anayejua.Simu yangu Internal memory ni 8GB.
Nikijaribu kuinstall apps inanipa meseji kama hiyo hapo heading. Niliiroot lakini iligoma mpaka wa leo.Any update?
Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.Kuna muda...
Niliahidi kutoa mifano ya fursa ambazo Rafiki zangu Developers wanaweza tumia nakuleta impact kwa jamii nahata duniani kiujumla. Fuatilia my previous thread
Nilieleza hits muhimu zakujua...
Naomba msaada ndugu zangu ninahitaji kudowload season mpya ya prison break season 5 iliyotoka mwezi huu wa nne, lakini sifahamu naipata vipi naomba mwenye ujuzi wa hili jambo anifahamishe kupitia...
Tunapomsikia mtu akisema Usalama wa mitandao/Matumizi mzuri ya mitandao...tumeshawahi kujiuliza huyu mtu ana lengo na nia gani kwa jamii??....Kwanza kabla mtu yeyote hajaanza kutuhubiria kuhusu...
Jamani msaada nna simu yangu imetoka ulaya sema haiingii sim card za tanzania na inataka unlock codes ambayo nimejaribu kugoogle wanaziuza usd 30 msaada jamani kama kuna njia nyingine mnisaidie...