Nataka kuwa fundi wa kompytua, naomba msaada

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,735
1,963
Ndugu wapendwa habarini za jioni.
Wapendwa nina interest sana na kujua kompyuta hasa hardware na software, yaani ninapenda kuwa expert kwa maana ya fundi wa kutengeneza kompyuta.

Kwa wale wataalam naomba ushauri wa hatua za kufanya ili niwe fundi mzuri wa kompyuta (software & hardware).
Asanteni sana kwa msaada/ushauri nitakaokuwa naupata...!!!
 
Back
Top Bottom