Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,542
- 4,117
Salaam wana jukwaa.
Nilipata taarifa flan kwamba kuna fundi anatengeneza inveter za kufua umeme wa AC kutoka DC at same time inatengengeneza DC ya kurudisha kwenye betri ilipotoa.
Kumbuka hapo Betri ni 1 ya gari au ya sola. Na haina msaada wa kuichajisha tofauti na hiyo mashine anayoisuka.
Inatumia umeme na kwa muda huohuo inachajisha hiyo betri. Kwa hiyo umeme hauishi kwenye betri.
Nikawa na Maswali mengi sana juu ya hilo..... Kanuni za umeme zinakubali?
Kuna uwezekano wa kutumia kidogo ili kuzalisha kikubwa sana.? Maana hapo unakuwa unafanya pia matumizi yako.
Karibuni