Raaj
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 205
- 29
Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.Kuna muda hata kama simu siitumii inaleta ile screen ya kuzima simu yaani inakua kama nimebonyeza power button ili niizime wakati sijafanya hivo.
2.Power button inafanyakazi kwa wenge sana kuna muda inafanya kazi muda mwingine inakataa bila sababu yoyote.
3.Simu inajiweka lock mara kwa mara hata kama iko inatumika yaani mfano nikiwa naitumia ghafla lock inajiweka na nikibonyeza home button ili kuondoa lock inapiga screen shot zisizo na idadi
Naombeni msaada wenu Ndugu zangu.