Msaada wa setting za whatsapp kwenye Tecno cx4

Msaada wa setting za whatsapp kwenye Tecno cx4

cezarichwa

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
29
Reaction score
2
Naomba mnisaidie jinsi ya kuseti notification ya watsap kwenye tecno cx ionekane kama zingine maana inaonyesha vidoti tu
Screenshot_20170421-212139.png
 
Hizi simu zenye hios hata ukiweka third part app mfano ya sms huwa hazileti notifications.
 
Kwa iyo hakuna namna zilete notification?
Tumia official whatsapp kama ni kuwa na accaount mbili tumia na parral space.
Sms za kawaida tumia hiyo y simu au messenger ya facebook ndio utapata notification
 
Back
Top Bottom