Msaada: Jinsi ya ku-delete dumstate/logcat files

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,604
3,372
Za kazi wakuu,

Nime-install Lineage 14.1( Nougat 7.1.1) kwenye Samsung S2, inafanya kazi vizuri, ila tatizo liko kwenye memory, OS imechukua karibu sehemu kubwa ya internal storage. Nimejaribu njia za kufuta haya mafile(dumstate/logcat file) kwa njia ya kupiga #*9900#, lakini ime-fail.
So msaada, kuna njia gani nyingine ya kuya-locate haya ma-file?
siz.png
 
Back
Top Bottom