Msaada: Techno C8 haingizi chaji mpaka uuzime

Msaada: Techno C8 haingizi chaji mpaka uuzime

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
10,748
Reaction score
15,769
Techno C8 haingizi chaji mpk uuzime, inanisumbua maana kuna wkt chaji inaisha mchana inabidi niizime ili niichaji, msaada tafadhali wataalam.
 
Dah yangu ilianza hivy hivyo ukitaka kuchaji ni sharti uzime ndipo ichaji, nikahangaika sana nikaenda kwa fundi akabadili mfumo wake wa kuchajia ikapona ikaanza kupoteza network.

Pole sana tekno sio watu wazuri mkuu, hapo lazima itakufa mkuu.
 
Miye nilikuwa teja wa Nokia, nilikuwa natumia mpk nachoka hadi Leo bado ninayo C6500.
Asante Raphael wa Ureno ngoja nitaarishe mazishi yake.
 
Inanikera kuficha contacts tu kama hujui namna ya kuzipata utaisoma Namba
 
Back
Top Bottom